Natafuta mwanamke wa kuoa.

Natafuta mwanamke wa kuoa.

mkuu usishituke hiyo ndiyo hali halisi ya chuo ulichosoma!kujitambulisha kwa jina la chuo hicho ulichosoma ni lazima uwe mjasili.maana elimu ya pale imechakachuliwa!pole sana mkuu!!

duh hicho chuo ndio kime-loose credibility kiasi hicho
 
Ha ha ha ha! akili zako zinakutosha wee hata ukanipa upambe wa bwana harusi, nitapiga kanzu ya Oman then huyo demu wako ata-change kibao ili nimchukue mimi, sasa sjui utaja shtaki hap JF hali ya kuwa shavu umenipa mwenyewe!
Chamajani acha kumuharibia mwenzio, wewe si umeshaweka post ya kuoa siku ya ijumaa mke wa pili? acha vijana nao wafaidi au unadhani jamaa atawamaliza mabinti wote hadi ukose wife wa 3?
 
Nashukuru MadameX kwa ushirikiano wako,
Kwa kifupi nina elimu ya chuo toka CBE-dodoma(ADA),Ni mrefu wa wastan,
sipendi makuu,napenda ukweli na nachukulia changamoto za maisha kama potential opportunities toward success.,
In stead of wasting your time kwenye JF nakushauri URudi palepale CBE Dodoma, utapata demu ndani ya sekunde kama sio dakika! But kama uko dar jaribu CBE au IFM
 
Chamajani acha kumuharibia mwenzio, wewe si umeshaweka post ya kuoa siku ya ijumaa mke wa pili? acha vijana nao wafaidi au unadhani jamaa atawamaliza mabinti wote hadi ukose wife wa 3?

Namtengenezea!
 
In stead of wasting your time kwenye JF nakushauri URudi palepale CBE Dodoma, utapata demu ndani ya sekunde kama sio dakika! But kama uko dar jaribu CBE au IFM

ishu co dem,mwanaJF,ni mchumba,
JF naikubal ndugu,hapa nilipofika co pazuri saaaana,ila panaridhisha,
niko very optimistic
 
mchango wako mkubwa cna,
ila kuna mchumba told me kwamba alikuwa afunge harus nawe ijumaa ila ofa hii imentoa ud...,vp nikupige kanzu ya Oman?

Ha ha ha ha! Hawezi kuwa huyo, because "komamanga" langu hajapatikana hapa ktk JF na wala hajui kama kuna kitu kinaitwa JF(Jukwaa la Furaha) in addition, yeye yuko opt kuwa either 2nd, 3rd, or 4th wife. Experience inaonyesha kwamba mke wa pili na kuendelea huwa hatafutiwi na watu, so huyo wako ni wa kwanza tu!
 
so nikupige kanzu ya OMAN?,itakupendeza kwa cna tu,unajua ilivyodariziwa?,
teh teh teh!,
 
Nimekupa tenksi kamanda, huyu dogo anataka kujifanya hajui kuhusu mkwanya na CBE!

we kiswahili umesomea wapi?
CBE nakipa big up ndugu yangu,
coz NBAA wacngeniruhusu kupiga module E, na mei namalizia module F,upo hapo,naona kinakuuma kama maximo na ushindi wa stars
 
Usijali utampata tu kuwa mvumilivu tatizo lenu mkiishapata mnachotafuta huwa hamrudi kugonga thanks

nasubiri mbivu,nikifanikiwa lazima nije nigonge thanx kwa kile aliyedevote time yake na mawazo ktk hili ndugu yangu,na hata nisipofanikiwa lazima nije nigonge thanxs,
 
we kiswahili umesomea wapi?
CBE nakipa big up ndugu yangu,
coz NBAA wacngeniruhusu kupiga module E, na mei namalizia module F,upo hapo,naona kinakuuma kama maximo na ushindi wa stars

Ha ha ha ha, si hukohuko CBE! Pia wanayo eti kozi ya kiswa-kinge.
 
so nikupige kanzu ya OMAN?,itakupendeza kwa cna tu,unajua ilivyodariziwa?,
teh teh teh!,

Eheeee, yashakuwa hayo mkuu-basi nami ntakupiga kwa Jambia la mbeleni ati? si wajua zile kanzu zauzwa special na jambia lake kwa ajili ya harusi!
 
Back
Top Bottom