ni j'pil tulivu nyingine,muda kama huu wanajf mnajiachia maeneo yenu tofauti tofauti ya kujidai,
nawashukuru sana tena sana kwa ushirikiano wenu mlionipa ktk muda wote wa kumtafuta "a woman of my lyf" kupitia hapa jf.
Ndugu wapendwa,mlikuwa na mengi ya kufanya lkn mkaamua kusacrifice sehemu yenu ya hii limited resource i.e.'time' na kuidevote ktk ishu hii.thanx u a million.
Haikuwa kazi rahisi hata kidogo,japo bado haijakamilika.
Nimekutana na vikwazo kibao,maoni tofauti,pm za ajabu,nzuri na nyingine mhh,we acha tu!!,
lakini zote ni changamoto ambazo zimeniwezesha kuingia ktk hatua hii muhimu ktk kufunua ukurasa mpya wa maisha yangu.
Si rahisi kumshukuru mmoja mmoja wenu kwa mchango wake,na nadhan maneno hayatoshi kutoa shukrani zangu za dhati toka moyoni mwangu ila naomba tu kusema ahsanteni!,
nawapenda wote hasa wale 'cutes' walojitokeza kwa nia moja ya kutaka kuwa mwili mmoja nami,thanx a lot.
Walikuwa wengi ila wachache wao ndio waliobahatika kuingia final stage,
kesho nahitimisha baada ya kufanya nao usaili wa mwisho,
napenda kusema zoezi hili la kupokea maombi nimelihitimisha rasmi.
Maoni,ushauri,critics vyote navikaribisha!,
nawatakia wkend njema wana jf,
nawapenda wote hasa wewe unayesoma hii thread!,