Natafuta mwanamke wa kushare naye Romatic Hitsongs za 1990's

Baharia nimekusoma, umekuja na njia tofauti sio lazima useme unatafuta mke, huu nao ni ubunifu
 
Yani jirani yangu hata sielewi jamani...sijui nianze maombi ya siku 40 mlimani..[emoji852][emoji3064][emoji3064]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usimsingizie Mungu hakujibu maombi yako, chukua hatua, wewe si huwa unanitiaga moyo sasa zamu yako usilaze damu
 
Nasikitika kuona kijana alivyo zezeta kutongoza kuanzia kwenye sim hadi kwenye barua.
Sasa wahivi akikutana na mwanamke ana kwa ana, wanaishiaga kung'ata kucha tu.
Mimi mwenyewe kanisikitisha mno 😢😢sasa hawa ndo wale wenye kupelekeshwa ndani ya nyumba.

Mwamba kaniangusha mno
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usimsingizie Mungu hakujibu maombi yako, chukua hatua, wewe si huwa unanitiaga moyo sasa zamu yako usilaze damu
Hebu jirani niambie hatua gani nichukue jamani..wa humu nawaogopa aiseh..

Jirani wewe si ulikuwa unapita tu ndo mana nikakupa ushauri ule na kukutia moyo.....
 
mtui mnyama sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…