Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Hivi jirani wewe pia unafeli wapi,Nena Kwa lugha mkuu au ulimi mzito[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jirani wewe pia unafeli wapi,Nena Kwa lugha mkuu au ulimi mzito[emoji28]
Unatakiwa ujiongezeBaharia anapinda pinda hanyooshi mistari
Baharia nimekusoma, umekuja na njia tofauti sio lazima useme unatafuta mke, huu nao ni ubunifuNahitaji mwanamke anaejua nyimbo za Romantic za miaka ya 1990's kuanzia za Boyz ll Men,Mariah Carey,JoDeS,KCi &Jojo,90',Ncyinc,Saveg garden,n.k.awe anazijua lyrics zake kwa sana ili tuweze kuzisikiliza kwa pamoja na kukumbuka yale yote yaliyokua yakiendelea enzi hizo kuanzia kwenye media ,matukio ya kimahusiana,chuoni shulen n.k.Umri kwa wowote lakini kigezo kikuu ni hizo Romantic hits ..0621097158.Alieko tayari tuwasiliane kwa namba izo au inbox.
Yani jirani yangu hata sielewi jamani...sijui nianze maombi ya siku 40 mlimani..☹🥺🥺Hivi jirani wewe pia unafeli wapi,
KwaniniNimesikitika sana.....
Yani amenisikitisha sana..hivi akikutana na kina sie tunaemwangalia mtu machoni si atakata moto kabisa!!Ulimi mzito mpaka kwenye maandishi, vipi ana kwa ana itakuwaje!
Nasikitika kuona kijana alivyo zezeta kutongoza kuanzia kwenye sim hadi kwenye barua.Kwanini
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usimsingizie Mungu hakujibu maombi yako, chukua hatua, wewe si huwa unanitiaga moyo sasa zamu yako usilaze damuYani jirani yangu hata sielewi jamani...sijui nianze maombi ya siku 40 mlimani..[emoji852][emoji3064][emoji3064]
Mimi mwenyewe kanisikitisha mno 😢😢sasa hawa ndo wale wenye kupelekeshwa ndani ya nyumba.Nasikitika kuona kijana alivyo zezeta kutongoza kuanzia kwenye sim hadi kwenye barua.
Sasa wahivi akikutana na mwanamke ana kwa ana, wanaishiaga kung'ata kucha tu.
Anataka ila anaogopa 🤣🤣🤣Baharia anapinda pinda hanyooshi mistari
Hebu jirani niambie hatua gani nichukue jamani..wa humu nawaogopa aiseh..[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usimsingizie Mungu hakujibu maombi yako, chukua hatua, wewe si huwa unanitiaga moyo sasa zamu yako usilaze damu
Domooo Tengaaa!Nena Kwa lugha mkuu au ulimi mzito😅
Huwezi jua 😂
Haki tena kila nikimuona mmoja wapo kati yenu mawazo yanayonijia ni kuwa nyie ni ndgu..leo nimeona niseme tu aisehHuwezi jua 😂
mtui mnyama sanaNahitaji mwanamke anaejua nyimbo za Romantic za miaka ya 1990's kuanzia za Boyz ll Men,Mariah Carey,JoDeS,KCi &Jojo,90', Ncyinc, Saveg garden,n.k.awe anazijua lyrics zake kwa sana ili tuweze kuzisikiliza kwa pamoja na kukumbuka yale yote yaliyokua yakiendelea enzi hizo kuanzia kwenye media, matukio ya kimahusiana, chuoni shulen n.k. Umri kwa wowote lakini kigezo kikuu ni hizo Romantic hits.
062109715 Alieko tayari tuwasiliane kwa namba izo au inbox.