Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Nahitaji mwanamke anaejua nyimbo za Romantic za miaka ya 1990's kuanzia za Boyz ll Men,Mariah Carey,JoDeS,KCi &Jojo,90', Ncyinc, Saveg garden,n.k.awe anazijua lyrics zake kwa sana ili tuweze kuzisikiliza kwa pamoja na kukumbuka yale yote yaliyokua yakiendelea enzi hizo kuanzia kwenye media, matukio ya kimahusiana, chuoni shulen n.k. Umri kwa wowote lakini kigezo kikuu ni hizo Romantic hits.
062109715 Alieko tayari tuwasiliane kwa namba izo au inbox.
062109715 Alieko tayari tuwasiliane kwa namba izo au inbox.