Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

Una good point of view but somehow umekosea kidogo namna ya kuiwasilisha......Fungua Thread kwa hii idea nzuri uliyonayo.....you will have my support!
Wacha niamin umejitetea.ngoja na mm nijitetee badala ya kujikita kwa hoja yako.ila kwangu ntajitetea kama ifuatavyo:-swali kwako ni kipi nimeshindwa kuwasilisha kidogo kwako!?je nikifungua thread unataja iweje!?ama hiyo thread iweje ili na wewe ufungue kwa idea yangu!?
 
Babu...... Mbona wanichokoza ina nini na mimi?
BTW Dabby yuko wapi siku hizi? Msalimie sana
Pole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???

Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...
 
Back
Top Bottom