Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Nmekamiss hako ka mtuPole bhana... Kuhusu huyo Daby ... inamaana unataka kunambia siku zote ulikuwa hujui kuwa Daby ndo Abdul Nondo???
Basi kama ulikuwa hujui ndo hivyo tena... alijaribu kujiteka ikashindikana, polisi wameamua kumteka ili asijiteke tena...
Daby pls nisalimie na hyo id yako nyingine