Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaa una akili we binti... Ungekuwa unaitwa Janeth lazima ungeolewa na rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaa una akili we binti... Ungekuwa unaitwa Janeth lazima ungeolewa na rais
@Phenomenal Woman babu kakuotea mazuriEwaaa una akili we binti... Ungekuwa unaitwa Janeth lazima ungeolewa na rais
Ndo maana nimemwambia siwezi my loveMzigua90 is orede tekeni chief [emoji20]
Asante Inna kwa kumuondoa mumu wangu kwenye njia iendayo maovuni [emoji4][emoji4]
Imekuje kwani!!!!Heee Dada jamanii, Imekuaje kwanii?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji28][emoji23]Ok take care mana hicho kizee sikiamin anasemaga ukaguzi wa wajukuu ukaguzi wenyew sio kabisa
Tuko pamoja shemAsante Inna kwa kumuondoa mumu wangu kwenye njia iendayo maovuni [emoji4][emoji4]
Uendelee ivo ivo tafadhali [emoji120][emoji120][emoji120]
Ubarikiwe [emoji1][emoji1]
Asante sanaTuko pamoja shem
Niendelee nn jamanii hubby[emoji20] [emoji20]Imekuje kwani!!!!
Wewe endelea tu [emoji20]
Weeee!! ukoo mzima tume mpokea YESU KRISTO, leo tukukaribishe mpinga KRISTO kwenye ukoo!?! Sini laaana hiyo isiyokuwa na kipimo[emoji2] [emoji124] [emoji124]Ahahahahaa Mkuu hilo sio tatizo wewe nipe tu!