Natafuta Mwanamke wa kuzaa naye

Natafuta Mwanamke wa kuzaa naye

songo mwene

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
91
Reaction score
101
Habari wanajamii!

Mimi ni mzee wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuzaa naye awe na miaka 30 hadi 45, na awe ameshajaribu kutafuta ukashindwa pengine umeenda hata Ulaya ili ukapandikize mimba lkn imeshindikana

Nataka nikusaidie na kukupa kumbukumbu ya maisha yako, kama hautapata mimba ndani ya miezi miwili nitakulipa Fidia ya usumbufu
 
Back
Top Bottom