jackrenee
Member
- Mar 2, 2022
- 47
- 69
Kila lakheriKwenye maisha endapo ukampata mtu ambaye mmeridhiana ndio anakuwa wife jumla jamani xo sijaona ubaya kuandika hivyo cauz niko serious.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lakheriKwenye maisha endapo ukampata mtu ambaye mmeridhiana ndio anakuwa wife jumla jamani xo sijaona ubaya kuandika hivyo cauz niko serious.
.Sin ²(lnx⅖) + log(sin²x²)= 1
Tafuta kwanza thamani ya x,ukipata ndio utafute huyo wa kuzaa nae..
Wewe mbona umezalishwa hujielewi...nyani hajioni kundulewapuuz kweli mtazaa na wanawake wasiojielewa.
Aaahh hayo majungu sasaUsiombe uzae vijana wa hovyo kama huyu mwenye tangazo
Ni kama ww tuVijana hamtaki kuo mnataka kitia mimba tuu