mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 41. Ninaye mtoto mmoja wa kike ana umri wa miaka 10. Mtoto huyo nimemzaa na mke wangu wa ndoa ambaye tulioana miaka 13 iliyopita. Mke wangu anaye mtoto wa kiume ana miaka 25 sasa. Nilimkuta akiwa na mtoto huyo. Wote ninaishi nao nyumba moja, na nawapenda sana. Tatizo ni kwamba mke wangu hashiki mimba nyingine. Tumeishaangaika vya kutosha kwa madaktari wa kawaida na waataalamu wa masuala ya wanawake (gynoclogists) lakini naona hakuna uwezekano tena. Nimevumilia sana sasa naona nakata tamaa. Umri wa mke wangu ni sawa na wangu. Mimi nahitaji mtoto mwingine japo mmoja, lakini mke wangu hataki nizae nje ya ndoa. Sasa nimeamua nataka nizae nje ya ndoa kwa siri. Uwezo wa kifedha kumtunza mtoto na mama yake upo. Mwanamke yeyote ambaye yuko tayari kufanikisha hilo, naomba tuwasiliane ktk email hii:
mrtrusted@hotmail.com. Sifa za mwanamke ninayemtaka ni hizi: Awe na kazi na elimu anglau form six, anaweza akawa na mtoto lakini si zaidi ya mmoja, awe mzuri na mweupe, dini siyo muhimu sana ila mimi ni mkristo, awe na uelewa wa kutosha wa maisha, asiwe na ugonjwa wa aina yoyote, awe mchangamfu, asiwe after money. Niko serious na suala hili.