Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

Makubwa!
Mtoa mada, mie nilidhani mkeo hazai kabisa, kumbe mna watoto! Kwa nini msikae na kuwale hao waliopo badala ya kuranda randa nje? Hata kama angekuwa hazai, maadili ya ndoa za Kikristo hayaruhusu hayo unayotaka kufanya.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA
 

Unachagua mwanamke mzuri ili mtoto nae awe mzuri.
 


hizi ulizotaja ni sifa za mke na wala si mwanamke wa kuzaa naye tu. Halafu si vyema kwenda kinyume na makubaliano uliyofanya na mkewe. Ni laana kwani hata huyo mtoto atakuwa wa laana laana tu
 

Hata Adoption ni mtoto wa nje ya ndoa. Tena hana uhusiano na baba wala mama, Si bora ahusiane na mmojawapo??
 
Makubwa!
Mtoa mada, mie nilidhani mkeo hazai kabisa, kumbe mna watoto! Kwa nini msikae na kuwale hao waliopo badala ya kuranda randa nje? Hata kama angekuwa hazai, maadili ya ndoa za Kikristo hayaruhusu hayo unayotaka kufanya.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA

Reminder: We live only once.
 
Tusikurupuke. Madumuni mojawapo ya ndoa ni watoto, Kama hawapo amani hiyo unayozungumzia haipo kabisa. Ila kuna watu wanavumilia tu na maumivu moyoni. Wanawake wengi wanauchezea ujana wao na kusababisha tatizo la kutopata mimba.

usisizingzie wanawake, wanaume wengi ni wagumba mbona na wengi mnabambikiwa watoto si wenu!
 
HIVI UKIWA NA MIKA SABA BILA HATA MTOTO. NA UKAGUNDUA SHIDA IPO KWA MWANAMKE. WEWE KAMA GREAT THINKER UTASHAURI MWANAUME ACHUKUE HATUA GANI???. tUSIONGEE TU KUFURAHISHA JAMIII. JE MUME AKUBALI KUISHI MAISHA YAKE YOTE BILA MTOTO???

ana mtoto mmoja amesema tamaa ndo inamsumbua tu hana sababu ya msingi wangapi wanaishi bila watoto?
 
Duh miaka 41 bdo unamawazo yasiyo na busara namna hyo? Huna hata shukrani kwa Mungu hata kwa huyo mmoja?? Kwanini unahesabu matatizo badala ya kuhesabu baraka uliyopewa na Mungu? Muheshimu mkeo maana kukataa kwake ameona mbali. Je ungekuwa wewe ndio mwenye tatizo ungeruhusu mkeo azae nje tena kwa kutoa vigezo vya mwanaume amtakaye? Mungu ana makusudi na yanayotokea usimkosoe itakula kwako. BE WISE!
 

Hizi ni hasira za kukosa sifa.
 
Haiwezekani. Wanawake mjifunze kujitunza. Msikimbilie mapenzi kabla ya ndo

Hata Adoption ni mtoto wa nje ya ndoa. Tena hana uhusiano na baba wala mama, Si bora ahusiane na mmojawapo??
MkimbizwaMbio huyu mtu ana watoto wawili tayari wa mke na wa kwake sasa anachotafuta huko nje ni nini kama sio uzinzi tu? Mkewe angekua hajawahi kumzalia mtoto sawa lakini ameshazalia mmoja na anamwingine pia aliemzaa ujanani so mke ana mayai ya kutosha tu, pengine huyu baba ndio alikua na yai moja mbona hana hata wa kusingiziwa huko nje? Hana shida ya mtoto huyu anatafuta mwanamke wa kuzini nae tu
 
Last edited by a moderator:
I don't wan speak for women ila kumpata mwanamke esp humu its kinda hard, n kama atajitokeza kwa namna yeyote ile lazima akutoe pesa ya kutosha hivyo jiandae kutolewa mkwanja mrefu sasa ukisema asiwe after money hata mimi nashindwa kukuelewa thou am a straight man.
 

Ana hela huyu? mzinguaji tu atafuta mwanamke aliejitosheleza kila kitu mzuri mwenye elimu na mwenye kazi yake, uzinzi tu ememkaba
 

Hili ndio linalosukuma wanaume wengi wasiokuwa na watoto kwenye ndoa kuzaa nje ya ndoa. Maana ukishazeeka utaambiwa hata wa kusingiziwa huna?? Basi ulikuwa na matatizo wewe. Sasa ili kuepuka hayo nawashauri wanaume wenye shida hii wachukue hatua mapema..
 
[Chukuwa na watoto wa dada yako uishi nao na kuwasomesha hao nao ni watoto. Mbona Clinto ana mtoto mmoja tuu kama wewe na bado ni mtu wa furaha tuu?]





Ndo maana tukaumbwa tofauti. hata hivyo Clintoni hana furaha, kama clinton ana furaha kwa nini alienda kwa Monica Lowensky?
 

Clinton alikuwa anazini tu na wala hakutoa vijisababu mara anataka mtoto. We ndio huna furaha maana unaona bila kuzini furaha yako haikamiliki, oa mke wa pili kama kweli una ubavu sio kutaka tu kuharibu maisha na furaha za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…