Natafuta mwanamke wa kwa ndoa

Natafuta mwanamke wa kwa ndoa

kahata

Member
Joined
Jan 17, 2021
Posts
88
Reaction score
53
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 38 ni muislamu.
1. Awe muislamu
2.umri kuanzia miaka39 hadi45
3.asiwe na mtoto
4.Awe mvumilivu na ukubali kuishi na mtu hohe Hahe ila mwenye kutafuta.
5. Elimu kidato cha nne Au form four.
6. Awe tayari kuishi kijijini na kilimo.
6. Awe tayari kiweza hulka ya upole.0782210033
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom