Natafuta mwanamke wa maisha miaka (24-28)

Natafuta mwanamke wa maisha miaka (24-28)

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
1,107
Reaction score
482
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE Cc.. lara 1:confused3:

Wadau heshima kwenu,

Nimeona ni muda muafaka kuja rasmi kutafuta mwanamke wa maisha yangu hapa duniani. Nafahamu mke mwema hutoka kwa Mungu lakini pia huweza patikana mahali popote, kwani mapenzi ni kama ajali Cc. Mtambuzi, Nicas Mtei

Nipo serious na hii mada, maana nimeona niingie uwanjani rasmi.


KWA KUWA HAPA NATAFUTA MTU WA MAISHA BASI VIGEZO (VIPO TAITI KIDOGO) NA MASHARTI KUZINGATIWA, SI JAMBO LA MASIHARA

SIFA ZA MWANAMKE NINAYEMTAFUTA

AWE MKRISTO
UMRI MIKA 23-28
ELIMU KUANZIA DIPLOMA NA KUENDELEA
AWE NA HEKIMA NA BUSARA ASIWE MWEPESI WA HASIRA
AWE AMBAYE HAJAWAHI KUZAA (HANA MTOTO)
AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI
AWE ANAYEPENDA MAENDELEO, ASIVUTE WALA KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE (MUHIMU SANA HILI) Cc snowhite
AWE MWANAMKE MAKINI, ANAYEPENDA KUSHAURI KULIKO KULAUMU ZAIDI Cc Kongosho

ASIWE MNENE, AWE MWEMBAMBA KIASI, UREFU SENTIMETA (120-180)
ASIWE; MCHAGA, MPARE AU ASILI YA SONGEA (SORRY KWA MLIOKWAZIKA-NINAMAANA YANGU KUBWA SANA Cc amu

SIFA ZANGU

UMRI MIAKA 30
NI KRISTO
DEGREE MOJA
MREFU SENTIMETA 150, MWEMBAMBA KIASI, MWEUSI KIASI
SINA MTOTO HATA WAKUSINGIZIWA
NINAKAZI YANGU, PESA YA MBOGA NA MAHITAJI MUHIMU HAINA TATIZO Cc Mrembo by Nature
SITUMII KILEVI CHOCHOTE, WALA SIVUTI KITU CHOCHOTE Cc Smile


poleni kwa awale ambao vigezo havitatosha.. poleni

KWA YOYOTE ALIYETAYARI TUWASILINE ANI PM AU TUMIA EMAIL gmakini47@yahoo.com PM zote na email zote zitajibiwa bila shida

TAFADHALI NIKO SERIOUS WAKUU, KAMA HAUNA CHA KUCHANGIA PITA KIMYA KIMYA:mvutaji:

Cc. wajukuu wa Babu DC, Zion Daughter, Kipipi et al.....
 
ahahahahahahhahahha watu bana!
sa mi nimetajwa kwa ajili gani???hapa tena specifically kwenye kutumia kilevi!
vipi bro umeniota nini??
 
Safari njema ya utafutaji. Mimi naona kigezo cha urefu kimenitoa (super tall), maana wewe unatafuta mke mbilikimo (100cm)!!
 
ahahahahahahhahahha watu bana!
sa mi nimetajwa kwa ajili gani???hapa tena specifically kwenye kutumia kilevi!
vipi bro umeniota nini??

hahaa usikonde mamii , nimekuweka hapo coz unapenda kutafuta fedha zako mwenyewe.....kwa matumizi yako siyo wale magolikipa.. tehhhh pamoja daima
 
Safari njema ya utafutaji. Mimi naona kigezo cha urefu kimenitoa (super tall), maana wewe unatafuta mke mbilikimo (100cm)!!

hahaaaa usikonde funguka tu, tutapiga bonge la hybridy hapo (tall and short = medium) .... jitokezee tu kama vigezo 90% unakidhi......nakusubiria uni PM ujue
 
ebu mp kijana wa watu bana acha kumbania.. hiyo ni meseji kwako.. usikute kijana anakuzimia..

Umeona ameniweka kwenye mambo ya ankara....analyse post yake vizuri utagundua. Thats why ilibidi nimuulize imekuwaje akanitaja kwenye maeneo hayo? I deserve someone better than HIM.....love is natural, hayo mavigezo lukuki ni kutokuamini kwenye power of love
 
Umeona ameniweka kwenye mambo ya ankara....analyse post yake vizuri utagundua. Thats why ilibidi nimuulize imekuwaje akanitaja kwenye maeneo hayo? I deserve someone better than HIM.....love is natural, hayo mavigezo lukuki ni kutokuamini kwenye power of love

i concur with you,mapenzi gani haya ya kutuma cv kama unatafuta kazi......mnh:mmph:
 
Mkuu Eistein hongera sana kwa kuwa wazi bana

Maaana hapo unatafuta mtu wa maisha ni zaidi ya kazi, sasa siyo unaweka vimistari viwili vya sifa halafu ukija kukutana na mtu umemsumbua muda, fedha etc halafu unatakuta vigezo hola

Ila wewe kwa hapa umeeleza kila kitu ukitakacho so mdada akijitokeza basi lazima awe walau 50% ya ulivyomtarajia
mi nakupa 100% mkuu. kazi kwenu wadada
 
i concur with you,mapenzi gani haya ya kutuma cv kama unatafuta kazi......mnh:mmph:

Ndio maana relation nyingi znavunjika kwasababu watu walipanga wapendane.. (as ana hiki , ana kile na mengineyo), so hakuna internal feeling ambayo ni natural inayokuvuta na kukuunganisha kwa mtu.....for me CV hizi hazinihusu kabisaaa, mwanzoni nilikuwa na waza kama yeye ila toka nierevuke sina CV kwenye love.

Uzoefu wangu unaonesha kwamba relationship ambayo ilidumu sana na hata sasa mhusika ni rafiki (even after kubreak) ni ile ambayo ilikuwa natural kuanzia kukutana hadi kuingia kwenye uhusiano. Zile za CV zoote hazikukubali kupersist.
 
Eistein umewagusa watu nini naona wadau......, njoo mkuu utupe ushuda PM hazijasoma kweli kwikwiiiiiiiiii.... jf raha sana
 
hata kazi kwa mchina haina cv jaman..
Sasa wachaga watafutaji hutaki...
Wapare maeconomist hutaki...
Wangoni watam zaidi ya asali hutaki..

Beh....!
 
hata kazi kwa mchina haina cv jaman..
Sasa wachaga watafutaji hutaki...
Wapare maeconomist hutaki...
Wangoni watam zaidi ya asali hutaki..

Beh....!

haaaaa mkuuu, nimekukubali, ila naona kijana aliwahi labda kuambulia manyoya.... Tehhhhhh chezea bond za ujana weye
 
mimi nataka mnywaji! kama mwanaume hunywi pombe ? huendi bar kukaa na wenzako utakuwa unaenda wapi au ndo kuja mapema kuchungulia beki tatu akienda bafuni na kumgegeda?
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa mwayego!!!

Haya wenye vigezo jitokezeni, mkiwemo wajukuu wenzangu ambao mko interested.
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa mwayego!!!

Haya wenye vigezo jitokezeni, mkiwemo wajukuu wenzangu ambao mko interested.


wahamasishe bwana wajitokeze wasije kulia lia ohh mara sina bahati.. mara hivi....wanatafutwa sasa halafu hawatokei... sijui babu kawaficha nini, watakuja tu lakini...
 
haaaaa mkuuu, nimekukubali, ila naona kijana aliwahi labda kuambulia manyoya.... Tehhhhhh chezea bond za ujana weye

hata kama manyoya bana... Asa hayo ma-vigezo ya nini bana.. Haya ana yote af mwizi balaa..
Mke mwema anatoka kwa Mungu tu.
 
Eistein
Maneno yako tu ndo yatawahamasisha.

BTW, naomba nije nikusaidie kuhesabu PMs!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom