Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo upweke ndio unakufanya utafute mwanamke... vipi upweke ukiisha?Kwa Sasa nipo na upweke Kwa Hali ya juu.. mwanamke mwenye UMRI WA miaka 18- 30 njoo in box please
Ukiisha NATAFUTA mtotoKwahiyo upweke ndio unakufanya utafute mwanamke... vipi upweke ukiisha?
Ndugu zangu siyo wapweke Mimi ni mpweke, mpweke atakaa na mpweke mwenzieAiseee. Upweke kwani huna ndugu zako mkuu? Au kwenu umezaliwa peke yako🤔
Unaishaje haraka hiv?Upweke umeisha au bado?
Si usiku mzima umepita, masaa yote ya usiku haujachukua hatua zozote za kujaribu kuutokomeza??Unaishaje haraka hiv?
Niutokomezeje Sasa.. hebu njoo huku dmSi usiku mzima umepita, masaa yote ya usiku haujachukua hatua zozote za kujaribu kuutokomeza??
Unautangazia umma kwamba una upwiruKwa Sasa nipo na upweke Kwa Hali ya juu.. mwanamke mwenye UMRI WA miaka 18- 30 njoo in box please
Hata sheria mkononi umeshindwa kujichukulia bro??Niutokomezeje Sasa.. hebu njoo huku dm
Hiyo ya Sheria mkononi..mkono utahukumiwa uende jelaHata sheria mkononi umeshindwa kujichukulia bro??
Hahahaaaaaa..upwiru ni shda ujueUnautangazia umma kwamba una upwiru
Tafuta mwanamke mmoja oa muweke ndani uwe unajipimiaHahahaaaaaa..upwiru ni shda ujue
Ndicho ninachotakaTafuta mwanamke mmoja oa muweke ndani uwe unajipimia
Kila lakheli usisahau utupe mrejesho humu ndani 😊Kwa Sasa nipo na upweke Kwa Hali ya juu.. mwanamke mwenye UMRI WA miaka 18- 30 njoo in box please
Hawapo atii tangu janaKila lakheli usisahau utupe mrejesho humu ndani 😊
Duh.. Unajua hata uandishi tu unaweza kukuharibiaKwa Sasa nipo na upweke Kwa Hali ya juu.. mwanamke mwenye UMRI WA miaka 18- 30 njoo in box please