Natafuta mwanamke wa miaka 18 - 30

Natafuta mwanamke wa miaka 18 - 30

Kwa Sasa nipo na upweke Kwa Hali ya juu.. mwanamke mwenye UMRI WA miaka 18- 30 njoo in box please
Watoto wazuri waliopo Mbeya hapo unakuja kujiliza hapa JF?

Nenda kwa yule single mother masai muuza mitumba pale Kabwe code iliyouzwa na kuwa wazi kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara nawe ule tunda kama jamaa kimasihara akuondolee upweke.
 
Umeniwe😃😀😀
 
Back
Top Bottom