Natafuta mwanamke wakuoa mwenye yupo tayari kua mke

Ebeneza2018

Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
11
Reaction score
11
Hodi humu ndani.

Naitwa Johnson mwenye umri wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri miaka 35 nakuendelea, Ambaye tayari ashamaliza mambo ya ujana.

Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo na mwenye kiu ya kuatamia maono nakuyafanya yawe kweli.

Njoo inbox tuyajenge.
 
Kuwa makini wengine hawamalizi ujana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…