Natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke

Daaah ila mambo mengine wazee wenzangu tuna takiwa kuangaliya kwa umakini sana... Sasa Uncle kasongo umeweka hadi picha yako hapo, kama wapo watoto wako wanao kuona, unavo tongoza hapa JF. ao marafiki wa watoto zako, picha gani utakuwa umejiwekeya hapo?
 
Mwache ankali bana karahisisha mtu uamue uende pm au usiende[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom