Natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke

Joined
Jun 30, 2016
Posts
70
Reaction score
29
Habari zenu wakuu, naomba kuleta ombi langu kwenu.
Kama utangulizi ulivyo.
Sifa zangu
Nina miaka 30
Dini: mkristo
Elimu: Shahada
Kazi : Nimeajiriwa
Rangi: mweusi
Urefu: Mrefu wastani
Mwili: mwembamba

Sifa za mwanamke nimtakae
Umri: miaka 20-26
Dini: yeyote
Awe mcha Mungu
Elimu: kidato cha nne na kuendelea
Rangi: maji ya kunde
Kazi: muajiriwa au aliyejiajiri
Mwili: wa wastani
Urefu: wa wastani

Mwenye vigezo karibu DM [emoji1666]
 
Back
Top Bottom