Natafuta mwanamme wa kunioa.

Ningoje nifikishe 30 mwakani,sifa zingine zote ninazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kisenge hayo, hio namba 5 toa upate husband material chap
 
ID mpya...

Huwa najiuliza mengi sana kuhusu haya matangazo ya hivi!

Ni kweli kabisa watu humaanisha au?

Mimi ni mmoja ya kati ya watu wachache sana [naamini hivyo, yaani tupo wachache mno] ambao huwa hatuamini mazima kila kiandikwacho humu.
Unahitaji ushuhuda upi? kifupi watu wanaishi na hata kufunga ndoa humu humu.....nina mifano hai mitatu.
 
Njoo uwe bi mdogo.
 
Dad Unitujarb haya sa kama mm selikalin kumejaa ntafanyaj
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo hapa tuongee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ID mpya...

Huwa najiuliza mengi sana kuhusu haya matangazo ya hivi!

Ni kweli kabisa watu humaanisha au?

Mimi ni mmoja ya kati ya watu wachache sana [naamini hivyo, yaani tupo wachache mno] ambao huwa hatuamini mazima kila kiandikwacho humu.
Hata mimi huwa najiulizaga sana hizi nyuzi za namna hii huwa naona kama watu wamekosa mada muhimu za kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo minjingu porini nimejiajiri nachoma mkaa vp nije PM tuyajenge?
 
Sasa mwwnamke unajiitaje matonya2?
Utakosa mme badili jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…