Natafuta Mwanasaikolojia

Habari WanaJF,

Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu.

Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii.

Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.

Jiwa Hassan
Hilo ni tatizo la afya ya ubongo nenda hospital
 
Habari WanaJF,

Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu.

Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii.

Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.

Jiwa Hassan
kama unakumbuka kuwa kuna wakati unasahau ww n mzimq haumwi.......😂🤣😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…