Natafuta mwanasheria aliye Moshi Mjini

Natafuta mwanasheria aliye Moshi Mjini

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Urgent: Natafuta mwanasheria aliepo moshi mjini, karibu inbox ila uwe unajua kazi yako na gharama ndogo na nafuu kwa Mtanzania asie na pesa.

Nawasilisha,

bloggerboy
 
Ngoja nikupe mtu yupo hapo Arusha, nadhani atakufaa ni mwenye huruma na muelewa. Arusha to Moshi ni karibu, atafika...
 
Hakuna Wakili asiyejua Kazi yake, iko hivi swala la gharama linategemeana na Kazi husika, ukitaka kusaidiwa zaidi nanda LHRC hapo utapa msaada na utasaidiwa.
 
Kama hujapata niambie nikupe namba umtafute, Yuko Moshi mjini. Isijekuwa Ile issue yako ya mambo ya betting? Ha ha haaaa..mdogo wangu fanya kazi achana na betting.
 
Back
Top Bottom