Natafuta Mwanasheria Anaejielewa Haraka iwezekanavyo Dar Es Salam

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
Habri wakuu, natafuta mwanasheria Mzuri wa mikataba bora ya kibiashara, kampuni aliyeko Dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
 
Habri wakuu, natafuta mwanasheria nipo dar es salam, kwa anaefahamiana na mwanashieria mzuri naomba unitumie mawasiliano yake DM. Asanteni sana
Nenda pale TLS Mikocheni unachangia 5,000 tu unapewa Mwanasheria tena aliyepita Law School (Wakili) Anasikiliza shida yako. Baada ya hapo mambo mengine yataendelea.

Ukienda kwa hizi law firms za mtaani utachàjiwa sio chini ya 30,000
 
aisee sikuwa kujua hili hii itanisaidia sehemu shukrani sana nilikuwa na sumbuka sana na kesi yangu mahala paisipo msaada sahihi wa kisheria.
 
Nenda pale TLS Mikocheni unachangia 5,000 tu unapewa Mwanasheria tena aliyepita Law School (Wakili) Anasikiliza shida yako. Baada ya hapo mambo mengine yataendelea.

Ukienda kwa hizi law firms za mtaani utachàjiwa sio chini ya 30,000
Anaweza kwenda UDSM jalalani School of Law atapata msaada wa mwanasheria bure.
 
Afrifa Legal Consultant. Mwisho wa mambo, jihesabu umeshinda. Ila una hela?
 
Back
Top Bottom