Natafuta Mwanasheria anayeweza kuandika Patent

Natafuta Mwanasheria anayeweza kuandika Patent

benitoc

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
48
Reaction score
15
Habari zenu wanajamvi! Namtafuta mwanasheria mwenye uwezo wa kuandika patent kwa ajili ya huduma bunifu.
 
Mtafute jamaa anaitwa dr. Eliamani Laltaika atakusaidia.....angalia hata kwenye fb unaweza pata no yake ya sim au email
 
Back
Top Bottom