B benitoc Member Joined Nov 16, 2010 Posts 48 Reaction score 15 Apr 3, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi! Namtafuta mwanasheria mwenye uwezo wa kuandika patent kwa ajili ya huduma bunifu.
Habari zenu wanajamvi! Namtafuta mwanasheria mwenye uwezo wa kuandika patent kwa ajili ya huduma bunifu.
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,164 Reaction score 573 Apr 9, 2016 #2 Mtafute jamaa anaitwa dr. Eliamani Laltaika atakusaidia.....angalia hata kwenye fb unaweza pata no yake ya sim au email
Mtafute jamaa anaitwa dr. Eliamani Laltaika atakusaidia.....angalia hata kwenye fb unaweza pata no yake ya sim au email