Chemist boy
Member
- Mar 24, 2018
- 57
- 60
Weka hapa usaidiwe, hapa ndo bure.Habari,Mimi nimefukuzwa kazi kampuni ya coca cola mbeya,ila nilipewa charge yenye mashtaka mawili,shitaka la kwanza kikao cha ndani kilinikuta sina kosa,shitaka la pili kimsingi lilizaliwa kutoka shitaka namba moja,wamenikuta na hatia,na kuniterminate,nahitaji mtu anaejua sheria aliepo mbeya nikutane nae nimpe kesi nzima anisaidie maana naona sikutendewa haki,chuki binafsi ili tumika,kwa sababu mgogoro ulishasuluhishwa na boss,ila kiongoz wangu akuridhika akanishitaki kwa afisa mwajiri ndipo hila ilipoanzia.
Ahsante mkuuWeka hapa usaidiwe, hapa ndo bure.
Watakuja mkuu
Pole kwa yaliyo kukuta
Note Asante mkuu kwa ushaurinenda mahakamani mkuu
Amen mkuuMungu atakusaidia utapata na utashinda
Kuna jamaa humu lawyer atakusaidia ila jipange kutoa vihela kidogo
We acha tu mkuu,uyo HRO. amekuwa akifanya mambo anavotaka,amewahi kublock personal bank A/c ya mtu na hela ilikuwa blocked mda mrefu adi alipojisikia akaiachia kwa kubembelezwa sanaHuko mbeya hamna waganga, sametime kuna watu wanaboa..
kama boss amekuta huna kosa na kuyasuluhisha yakaisha huyo jamaa anataka nini tena? ngozi nyeusi sijui lini mtabadilika
Nitafanye ivyo kiongoziAcha kupoteza muda, unatakiwa kupeleka mgogoro wako Tume ya usuluhishi na uamuzi hapo mbeya ndani ya siku 30. Nakushauri ufike vyama vya wafanyakazi hasa TUICO. Siku 30 zikiisha una hatari ya kupoteza haki yako unayo iamini.