Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Hakuna wanaume wa Hivyo, period!!Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
View attachment 3336482
Sasa hiyo mialiko inahusikaje?Kumbuka Kuna out, Kuna mialiko, Kuna gate together, n.k.
Pia utamu wa kitimoto au nyama ya kuchoma kuwe na kuchumbari.
Daaah, kama hivi halikutoshi kwahiyo?Mtu kanyooka Kama Yuko parade.
Si ametoka kuoa juzi juzi tu na kaoa mwanamke mwenye tako kubwa!Mcheki azizi k
Type yangu sasa mimi Ndio wa hivi👍
Hivi ndio vitu napenda aisee