Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
-
- #61
Sawa nimekuelewa, ngoja nibaki na mwili wangu huu huu ambao sina kitambi.Cha umuhimu uwe na umbo zuri.
Haijalishi una matako makubwa au madogo.
Ila uwe na umbo linaloeleweka kuwa hapa ni kiuno, hapa ni tumbo, na hapa ni chuchu..
Sasa utakuta mwanamke una kitambi kikubwa, huna tako, mnene kupindukia. Una titi limeshuka hadi kiunoni.
Kifua kimeungana na Tumbo.
Dah!
Ukiwa slim bas kila kitu kiwe cha wastan, inapendeza zaidi.
Ukimaanisha?Hakuna mwanaume mjinga wa viwango unavyotaka wewe?
π Acha basi masiharaMwisho tukachomwe mifupa kisa nini aisee!
Mwanamke ni Matako.Ukimaanisha?
Daaaah so sisi tusio na matako makubwa ni wanaume au?Mwanamke ni Matako.
Dah hiki kifua ndio chenyewe!
Nyie ni wahuni wenye mambo ya kike.Daaaah so sisi tusio na matako makubwa ni wanaume au?
Mmh..! π
Hujawahi kula ile mishkaki ya 100 we weπMtu kanyooka Kama Yuko parade.
Wapo wengi tu,mimi kati ya rafiki zangu 10,6 wanapenda vipotable na mmoja katinyao anapenda wembamba sana.Na anafurahia mno kuwa na vipotable.Mimi hupenda sana kiuno na matako ambayo ni makubwa wastani tu sio majabaliLeo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
View attachment 3336482
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Karibu, nipo kwa ajili yako.Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
View attachment 3336482
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Sheikh kasema, we nani hadi ubishe ππππAah wapiπππ
Acha kutuaibisha wanaume, unakosaje bando la buku 10 mwezi?Mb 34 no way
500 mb247 ndio nimejiunga
hapana sifungui hiyo VIDEO nitasoma tu COMMENT za wachangiaji
Nashukuru sana, kila kona tunasikia makalio makubwa ndiyo deal mpaka tunajiona sisi wa maumbo ya kawaida hatufai.Dah hiki kifua ndio chenyewe!
Kama uko hivi + umbo la wastan, + ukiingezea na uzur. basi uko vyedi. Umebarikiwa.
Hongera mkuu Mtunza siri zako
Napenda lisiwe kubwa sana yaani liwe kama lako tu.Mupenziii secretarybird njoo useme kwanini unapenda wowowo kubwa!
Hii sio mbaya, imekaa vizuri. Weka vigezo chap...