Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

Sasa hapo unamiaka 27 kwa kigezo cha elimu ulicho weka humpati labda kibamia maana wote wapo busy na wasichana wa miaka 18-20
 
Sasa hapo unamiaka 27 kwa kigezo cha elimu ulicho weka humpati labda kibamia maana wote wapo busy na wasichana wa miaka 18-20
Na umri aliousema kwa mwanaume kuwa ameshamaliza degree ya sheria ni kazi ngumu sana
 
Dah.... Njoo kwangu ila sina degree ya elimu nina degree ya pesa nitakupatia chochote pamoja na kuhakikisha elimu yako ya degree utasimamia miradi yangu kama mama wa familia, je Upo tayari.
 
Muwe mnapunguza kiwango cha elimu ..sio kututisha hivyo.
Eti degree mala PhD, sjui diploma" hivi kwa nini Msiolewe na shule???
 
 
Dhahili wewe ni Muslim fake, ndoa na vigezo wapi na wapi, Omba tu umpata aliye mwema na mbadilishe wewe kumpeleka hayo uyatakayo wewe.
Inawezekana
Usimhukumu aisee, kiukweli ndoa inatakiwa iwe na vigezo. Halafu kama yeye ni muislam basi hakika anatakiwa achague na aridhike na vigezo vya yule ampendae. Ninukuu vizuri ndugu yangu, vigezo ni lazima awe navyo na wala hawi muislam feki eti kwa kuwa ameweka vigezo vya amtakae
 
Of course kama yeye ni mtoto wa kiislam dini lazima iwe ndio kigezo nambari moja. Na wala sio ubaguzi, sasa akiolewa na mtu asie muislam unadhani wataishi kwa kuelewana hao? you have to have the very same ideology to be able to live in peace and harmony.
 
Anzisha thread na kuchangia mara kadhaa tuweze kufahamu wewe ni mtu wa aina gani.
 
Kuna yule Comedian wa Kenya anasema hivi.
"Ukiona mwanaume hana mwanamke ujue HATAKI, lakini ukiona Mwanamke hana mwanaume ujue kweli AMEKOSA".
Anauliza umewahi kuona mwanaume ameenda kwa Mganga kutafuta mwanamke?
 
Sema kwanza umepata masaibu gan huko ulikotoka. Maana hakuna mdada anaomba uchumba/urafiki hapa Jf kama hajamwagwa baada ya kuzalishwa au ni +hiv na mengineyo
 
Suburi wanaume wakupende,na zaidi mshirikishe Mwenyez Mungu katika maombi yako ili uwez kupata Mme bora,kwa swala la mwanaume anaye mcha Mungu hata mm nakuunga Mkono kwa 100%,lakin kwa inshu ya Elimu umechemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…