Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

Mama yako wa Kambo alikuambukiza kivipi? Mlikuwa mnasagana? Alikukata na kitu cha ncha kali chenye HIV+? AU Ulishare Kitu Chenye Ncha kali? Ebu Fafanua hili.
Unahisi ni kwann unatakiwa akujibu swali/maswali yako????.

Kwann unatafuta kumrejesha katika kumbukumbu ambazo uenda kwa miaka mingi amejitahidi kukisahau?.




"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Yaan watu n -be wanajipeleka kwa +ve na wakijua kabisa??!!! Watu wamekata tamaa kweli na maisha duuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa uchuro wa JF. Usishangae hao + walitaka tu kumchora.

Au hao + ve ndo hawa tunaowaita False -ve wa JF , yaan kwa ID hii ni wagonjwa ..ID hii ni wazima basi kuchoreshana mwanzo mwenga.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Wewe ni mtu maalum sana. Mungu akujaalie hitaji la moyo wako. You have my prayers dada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lilikuwa bonge la interview!!!.




Write your reply.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia pekee ya kukwepa Ngoma ni kugoma kupima
Kijana VVU ipo, hivyo linda afya yako...

Kama hujawahi fanya kazi katika taasisi za afya au kushuhudia watu wanavyohaha kuongeza urefu wa maisha yao ni bora ukae kimya tu...

Huyu dada anajitambua na ni jasiri maana wengi waliopata kadhia hii huishia kuambukiza wengine ama kwa kujua au kutojua...
 
wadau..nikitaka kuelezea kila kitu sitafanya hata kazi zingine...najua wengine wanakejeli ila najua wapo wanaojifunza..niko kwa ajili ya kuwaelimisha wanaohitaji kujifunza kuhusu HIV..Kuna mdau anauliza ilikuaje nikaambukizwa na mama wa kambo...ni hivi nilianza kulelewa na mama wa kambo nikiwa dogo sana kama age of 6...mbaya zaidi alikua hatupendi,and baba hakua anatusikiliza that time even nyumba haikua na amani so baba hakuwa mtu wa kukaa home..ilienda mama akapata maambukizi hiyo ndio ilikua mbaya baba na mama hawakua na maelewano kabisa..nilikua na wadogo zangu 2 ambao walizaliwa negative..kutokana na migogoro ya home baba hakuwa akimuelewa mama..ilifikia hatua mbaya mama akawa anaumwa sisi ndio tunamuuhudumia..kuna siku alimwambia baba kama anamtenga atakufa na watoto wote...so alifanikiwa hilo alituchanja akatuambukiza...kwa akili za kitoto hatukujua kinachoendelea...alipofariki wadogo zangu walianza kuugua...tukapimwa and walikua positive..the story began...kuikweli hua sitamani kuikubuka hii story but nimeshare mjifunze...hapo nimeifaya fupi tu...kwenye family kuna issue nyingi ndugu zangu...kila wakati nawaambia ukimuona mtu positive msidhani kaikota kwa kupenda..No

jitathimini kama wewe ndio mimi unafanyaje?

umezaliwa mzima..leo niko hivi sio kwa kupenda nimeambukizawa makusudi...

mama yangu mzazi anaumia kiasi gani?

sometimes unakata tamaa..ila ukiangalia maisha ni yako unaamua kupambana

natamani nipate mtu atakae nionyesha nini maana ya mapenzi ninapokata tamaa..nataani nipate mtoto labda atanifariji napata na nani wengi ni waongo na wamekata tamaa..

ambao wanahitaji kuwa na mimi nawaonea huruma..

someone help..naandika hayo nikiwa na maauvu makubwa...yananiumiza
 
Pole dada, swali langu lisichukuliwe kama unyanyapaa tafadhali nataka kujua tu...hivi ni kwa nini mtu asiye na maambukizi awe tayari kuishi na mtu mwenye maambukizi? Ujue sielewi yani
hauwezi kuelewa...jaribu kuvaa viatu vyangu
 
Ni kwakua HIV iko controlled, ukiweza kui controll huambukizi wengine.
yes...mimi ni mfano hai...my viro load are undetected..kiasi kwamba nilipima juzi kazi dispensary wakaniambia sina virusi...nikachukua majibu huku nacheka...nadhani na kipimo chao kilikua kibovu..ndio maana wanasema test 3 times...if nimeenda na mtu si anajua niko okay...complicated
 
Nimechokaaa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji119][emoji119][emoji119][emoji24][emoji24] Mbona ngoma itaua wengi jamanii...
 
Jf kuna watu vichwa vigumu jamani nawaza hao wawili ulio waonea huruma watakuws tu wanachama wa ufipa.Ahsante kwa kuwapuuzia.
wapo humu wengine ..walikuja nilipowatosa wanabadili tu account..sasa mtu atabadili account ngapi kuweni na amani mim once am done...imekwisha..ninaplatform nyingi ambazo hata hao watu wapo na ninawaona mishe mishe zao but once ninapokua huko i do my business..na ni wachangiaji wazuri sana..dunia sasa ni kijiji huezi jificha kiivyo..just be real muogope mungu..do good ukiwa mtu mdaya utakwama tu mahali
 
Nimesoma hapa hadi soda imenishida aisee..Ila natamani tufahamiane kiurafiki itatosha
 
Yaan watu n -be wanajipeleka kwa +ve na wakijua kabisa??!!! Watu wamekata tamaa kweli na maisha duuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaona bora kuishi na h.i.v.lakini na upendo Wa kweli kuliko kuishi bila h.I.v hali hamna amani..huyu Yeye anahitaji mwanaume Wa kudumu mmoja tu na sio mchezaji kama hao wazima..unaweza kufa kwa presha ya mapenzi hali mwenye h.I.v ila anaamani ya maisha akadunda miaka 20
 
akadunda nini? teh teh nimecheka sans
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…