Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

Sheesh, now this one is scary...undeveloped countries kuna inconsistency nyingi sana zinazolead to other problems, What if ingekuwa mara yako ya kwanza kwenda kupima na uneenda na mtu wako, mnaondoka mkijua mpo salama kumbe mmoja anao, daaah umenifundisha somo....
 
Wewe kama mimi Khantwe nashangaa sana kuona ambao hawajaathirika wakitaka kuwa na
walioathirika. Binadamu tunatofautiana sana. Yanini kuwa na mtu ambaye saa zote una hofu na mkisahau tu mara mmelana denda mh! Sielewi hata chembe binadamu wengine ni very courageous to take risk on their lives.

Pole dada, swali langu lisichukuliwe kama unyanyapaa tafadhali nataka kujua tu...hivi ni kwa nini mtu asiye na maambukizi awe tayari kuishi na mtu mwenye maambukizi? Ujue sielewi yani
 
She is the real deal, humble, down to earth, well educated etc. Mie kinachonifurahisha sana ni participation yake kule siasani na kusimamia haki huku akipinga maovu na dhuluma mbali mbali.

Moja ya wanawake ambao nikiingiaga jf nikiona ulichoandika huwa lazima nisome, you write alot of sensible stuffs, BRAVO...
 
Mwenyewe badala ya kunieoimisha kaishia kulalamika
 
Reactions: BAK
Ebwanaaa eeeh!
 
Hii hutokea maaana kuna mama mmoja jirani yetu aliwaambukiza watoto wake wawili wa kike kwa njia hii hii ya kumuhudumia wakati wa ugonjwa. Ilikuja gundulika baada ya mama huyo kufariki.. ndipo binti mkubwa nae alianza kuugua na ikagundulika atakuwa aliupata kwa mama... walipo mchunguza na binti mdogo nae alikuwa na maambukizi. Binti mkubwa ameshafariki Ila mdogo walimuwahi kwa dawa.. maombi na Sasa ameolewa na anafamilia Ila status yake kwa Sasa kiafya siwezi ijua ni siri yake na mumewe.
 
Pole dada, swali langu lisichukuliwe kama unyanyapaa tafadhali nataka kujua tu...hivi ni kwa nini mtu asiye na maambukizi awe tayari kuishi na mtu mwenye maambukizi? Ujue sielewi yani
Nikujibu si kileiman maana mimi si dakatari kama Sky Eclat ! Experience yangu hasa kwetu wanaume, akimpenda binti anatakani amle kwanza na amalizie kwa kukoja ndani! Hapo akili ndipo zinarejea. Hapo majuto ndipo yanapotamalaki. Kichwa cha chini kikisimama ni balaa hasa kwa vijana na anayeweza kusaidia katika hali hiyo ni mwanamke. Jiulize Kwanini bado kuna vidume vinammendea uwoya pamoja na madai kuwa anao? Hiyo ya kidaktari ati akiwa katika madawa ni upuuzi na majuto ya baadaye. Huwezi kuweka kichwa chako katika mdomo wa mamba ukiwa na akili timilifu. Nimempenda sana mtoa mada kuwa hawezi kutembea na -ve. Tuache utani ukimwi tishio
 
mh uwoya tena
 
Aisee kumbe
 
Ngono zembe is sleeping with every Mary and Rose without protection
Lakini Mimi nilikuwa nazungumzia kuishi na mke aliyekuwa affected alafu nisile kavu (wewe ukasema inawezekana ukiacha ngono zembe) sijui kama unanielewa. Hakuna mahali nilipozungumzia kubadilisha wanawake.
 
Ok it means your wife is already immune suppressed unatakiwa kumlinda usimletee magonjwa. Wewe na yeye mnaweza kwenda kavu tu bila shida
 
Ok it means your wife is already immune suppressed unatakiwa kumlinda usimletee magonjwa. Wewe na yeye mnaweza kwenda kavu tu bila shida
sky Eclat..ebu nielekeze mtu akipima na kuambua ana virusi 45 na CD4 850...tafsiri yake ni yupo suppressed yaan undetected or inakuwaje...au mtu akipiwa huwa mnamwambia idadi ya virusi alivyokuwa navyo? na kama unamwambia nitolee mfano mnamwambia kwa lugha gani ya kueleweka
 
She is the real deal, humble, down to earth, well educated etc. Mie kinachonifurahisha sana ni participation yake kule siasani na kusimamia haki huku akipinga maovu na dhuluma mbali mbali.

Yes she is....
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…