Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

Mbona rahisi sana hii!
Pole sana ila utapata.Mungu akujaalie.
 
Ungekuwa na rafiki daktari ingekuwa rahisi zaidi.
 
Pole dia...Nashkru tu ushasamehe na unapambana na hali yako....nmekupenda sana hope tuchati tubadilishane Mawazo mana na Mimi na janga hilo ni girl pia nicheki kwa email..kidolechale@gmail.com
 
Naomba ufafanuzi hapo unaposema."Kupata maambukizi mapya" unamaanisha nini?
 
Aisee, pole sana thebeliever .
Utapata mtu tuu dada yangu, usikate tamaa.Keep on believing.
 
Mungu akupatie hitaji lako, unaonekana mwema sana wewe.Pole sana, huyu mama alikuambukiza vipi?, kama hutajali kushare hapa.
 
Naomba ufafanuzi hapo unaposema."Kupata maambukizi mapya" unamaanisha nini?
okay...unapokua positive kuna idadi ya virus ambao uko nao..ndio maana wanakupa dawa ili kuwapunguza/kuwafifisha wanakua counted...ukiingia ndani sana wanasema unaweza ukawa na virus ambao ni jinsia moja kama ni male or female so mfano ukiwa nao wote means watakua wanazaliana...but ukiwa nao wa aina moja inamaana hawawezi kuzaliana..so madaktari hawawezi kukueleza yote but wanakuambia angalia usipate maambukizi mapya..means unaweza ukawa na virusi type moja wametulia hawazaliani ila ukiletewa aina ya pili means wataanza kuzaliana..so utakua kwenye risk sana..watu wengi unaowaona wanaweza kuwa na immunity nzuri hadi virus hawaonekani means dawa zimefanya kazi ya kufifisha wale virusi wako nao..so cell zingine zinakua active kuujenga mwili..tofauti na H.I.V virus zikiwa zinapambana na cell za mwili za kuujenga mwili hauwezi kukaa sawa ndio maana mtu anakua anadhoofika na kuumwa kila wakati
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Day[emoji22][emoji22]
 
MUNGU akubariki,akupe haja ya moyo wako
 
Nimeumia sana.
Pole sana dada.

Kama wewe ni Mkristo WOKOVU ni muhimu sana. Ni PM tutiane moyo
 
Machoz yamentoka pole sn dada pole..mung awe pamoja nawe
 
Asijione yuko poa je kapima???
 
Ukimwi hausababishwi kwa blood transfusion, your stress killed your cells!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ