NATAFUTA MWANAUME HIV POSITIVE

أتمنى لك كل الحظ السعيد في العالم
 
Nakuombea kwa mungu umpate mwenye status hiyo, endelea kua na moyo huo huo wa huruma dada, nimeo kua we ni smart na ni wife material kabisa , mungu akujalie
mchukue ww basi kama unataka wife material.. maana amekosa mzima kaamua atafute asie mzimaa....ko naww una nafasi et
 
mchukue ww basi kama unataka wife material.. maana amekosa mzima kaamua atafute asie mzimaa....ko naww una nafasi et
Ujue mkuu huyu kaamua kuwa Mstaarabu tofauti na wale wengine! Na huenda anachokisema kina ukweli Fulani! Kumbuka mm nilishawahi kutoa ushuhuda Wangu pale nilipokutana na binti mwenye vvu na alitaka kuniambukiza maksudi! Kwani nilitumia mpira lkn bht mbaya ulipasuka na kesho yake tulipoenda kupima alipatikana na vvu, nilienda angaza Mimi nikapewa dawa za kufifisha ukimwi alimaarufu kwa jina la PEP, sijui kirefu chake! Na baada ya hapo niliambiwa nikapime Mara baada ya kumaliza dozi yangu! Nilipomaliza nilirejea kweli japo nilikuwa na hofu sana! Bahati nzur majibu yalikuwa mazuri! Baada ya HAPO nimekuwa na desturi ya kupima,ni miezi Tisa tokea incident hiyo itokee!

Nataka kusema hivi huyu binti n mkweli na mungu amsaidie San kwani ukweli na upendo alionao umevuka mipaka!
 
Mwambie...No one knows tomorrow, ni kumuomba mungu tu..hujafa hujaumbika kama haijakukuta huezi elewa, najua wapo wanaonielewa vizuri sana basi tu they cant write here.
 
Kwani hapo kituo unapochukulia dawa hujawaona vijana ukawaambia hili? Hebu anza na hao waathirika wenzio huenda ukapata.
 
Hallo Ni PM niko mwanza naeza kukusaidia
 
Unaweza ukatupa simulizi yako jinsi ilivyokua kama hutojali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…