NATAFUTA MWANAUME HIV POSITIVE

NATAFUTA MWANAUME HIV POSITIVE

Kwanini umefungua ID mpya ndio ukaja na hii thd? ungekua muwazi kwa ID yako ya zamani ingependeza zaidi na ungeaminiwa zaidi,hii kuja na id mpya inatia mashaka.
Guys the world is not fair, as i said mwanzo elimu kwa jamii bado, ningeweza kuja hata na full details zangu but then after siwezi jua watu wangapi wamesoma hizo details humu.kila kitu ni imani tu kama unahisi labda nadanganya nikuambie tu hapana..nimeandika its real i will be responsible for what i am writting and what you are thinking.
 
Mbona kama unamshtukia? Unamfahamu?
 
Guys the world is not fair, as i said mwanzo elimu kwa jamii bado, ningeweza kuja hata na full details zangu but then after siwezi jua watu wangapi wamesoma hizo details humu.kila kitu ni imani tu kama unahisi labda nadanganya nikuambie tu hapana..nimeandika its real i will be responsible for what i am writting and what you are thinking.
sio kila mtu wa kujibiwa uwe hivyo itakusaidia baade...all the best once again
 
Kajibu, imesaidi. Maana hata mimi nilikuwa namsapoti jamaa kwa nini aje na id nyingine, ila kajieleza vizuri imeeleweka kuliko angekaa kimya bila kujibu.
 
There was some one of your situition days ago, he was here looking for a partner, its my wish mkutane hapa. Am not +Ve but I would like having a friend like you.
 
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent

Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu imekua soo private, watu hwajioneshi kutokana na perception ya jamii, na nisingependa kumuambukiza mtu kwa kujua of which watu wengi wanafanya hivyo pia.

Now am loocking for a man ambae tunaweza kuwa friends na mungu akisaidia kuwa mke na mume baadae hope kutimiza ndoto za kimaisha pia.

Am in good condition, naelewa nini natakiwa kufanya as avictim, so ningependa ninaempata awe the same status, pia awe na malengo

Naamini being +ve sio mwisho..u can love and u can be loved too, mimi ni mkristo naamini mungu ni wetu sote, so na ambao ur safe please stay safe ukimwi upo.

Anyone interested anicheck PM.i will appreciate awe mkristo and around mwanza.

Thanks
All the best hommie, it looks like you're intelligent and wise young lady, the way you wrote your message, portrays how smart you're.
 
Mwenyezi Mungu akupe itaji la moyo wako usife moyo utapata na utaishi sana tuu tena sana
 
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent

Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu imekua soo private, watu hwajioneshi kutokana na perception ya jamii, na nisingependa kumuambukiza mtu kwa kujua of which watu wengi wanafanya hivyo pia.

Now am loocking for a man ambae tunaweza kuwa friends na mungu akisaidia kuwa mke na mume baadae hope kutimiza ndoto za kimaisha pia.

Am in good condition, naelewa nini natakiwa kufanya as avictim, so ningependa ninaempata awe the same status, pia awe na malengo

Naamini being +ve sio mwisho..u can love and u can be loved too, mimi ni mkristo naamini mungu ni wetu sote, so na ambao ur safe please stay safe ukimwi upo.

Anyone interested anicheck PM.i will appreciate awe mkristo and around mwanza.

Thanks
Mim baado mgeni namna yakumtafuta MTU private hapa

Hivi kumtafuta MTU private unafanyaje hapa ?
 
Stay positive tu na kuwa optimistic, dawa iko njiani.kuna research inafanyika uingereza, wameipa mda wa 5 years, sasa ni mwaka wa tatu na maendeleo ni mazuri.
Ikifika 2020 na maendeleo yakawa mazuri, WHO wataitangaza kama tiba rasmi ya kuua na kutokomeza hiv mwilini.
 
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent

Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu imekua soo private, watu hwajioneshi kutokana na perception ya jamii, na nisingependa kumuambukiza mtu kwa kujua of which watu wengi wanafanya hivyo pia.

Now am loocking for a man ambae tunaweza kuwa friends na mungu akisaidia kuwa mke na mume baadae hope kutimiza ndoto za kimaisha pia.

Am in good condition, naelewa nini natakiwa kufanya as avictim, so ningependa ninaempata awe the same status, pia awe na malengo

Naamini being +ve sio mwisho..u can love and u can be loved too, mimi ni mkristo naamini mungu ni wetu sote, so na ambao ur safe please stay safe ukimwi upo.

Anyone interested anicheck PM.i will appreciate awe mkristo and around mwanza.

Thanks
Inbox me ,iam new to this platform halafu sijui namna yakutumia hii platform
 
Guys the world is not fair, as i said mwanzo elimu kwa jamii bado, ningeweza kuja hata na full details zangu but then after siwezi jua watu wangapi wamesoma hizo details humu.kila kitu ni imani tu kama unahisi labda nadanganya nikuambie tu hapana..nimeandika its real i will be responsible for what i am writting and what you are thinking.
Kwani ulishawahi weka taarifa zako harisi kwenye I'd nyingine?
 
Back
Top Bottom