Natafuta mwanaume ili aje awe mume

Joined
Apr 30, 2015
Posts
11
Reaction score
6
Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke.

Sifa;
-Ajiamini,
-Umri 28-35,
-Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha.
-Awe amejiajiri au ameajiliwa.
-Dini awe mkristo.

Sifa zangu;
-Miaka 27, nina shahada ya kwanza.
-Mwajiriwa.
-Aliye tayari aje pm kwa mazungumzo zaidi.
 
umri umenitupa ningejitupa kwenye kinyang'anyiro

kila la kheri cheusi rangi ipendezay.....
 
cheusimangalami

Mimi Sasa Nina Miaka 49 Lakini Nina Mapenzi Ya Mtu Wa Miaka 23 Je Rukhsa Kuaplai?
 
Last edited by a moderator:
M umeniacha mwaka mmoja lkn vigezo vyote ninavyo sijui naweza jaribu bahati yangu.
 
kwanza wanisamehe wote walioni"pm". mimi ni mgeni humu kumbe kuna sharti kua ili pm iwe active natakiwa atleast niwe na post 5, mimi sikulijua ilo kwaiyo nlipotaka kumjibu mtu wa kwanza tu aliye ni-pm ikagoma. naomba mnivumilie mpk kesho ntakuwa na uwezo wa kuwajibu pm nlizonitumia.
 
Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"
 
Okay anza kuni PM mimi kwanza,Nina miaka 35,Form Six Div IV ya Mwanzo,Najiamini,Ni Dalali Kipato changu laki 5 mpaka 1m kwa mwezi.
 
Get married at your own risk Cheusidawa! Best of Lucky!
 
Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"

Anakudanganya mwaya! hayo mapakashume yapo badoo! Huku unavyokuja ndio wanavyokupokea!
 
Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"

Nitajitahidi kuwa makini, thnx kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…