Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 294
are you engaged.??
Ntakutafuta tu mbonA huwa nashinda saaaaana tu mule
Hahaaa, kama mimi ya miti he utahimili?
Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!
"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"
Mkuu hawa madada wenyewe ni matapeli isome vizuri post yake kuu utajua tu kuwa hawana lolote
Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!
"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"
Menibidi kunyamaza, yako kutafakaria,
Kwangu umejitokeza, mahaba kunitakia,
Kwa kweli umejikaza, vema kuniangalia,
Banati umeniweza, kuniamsha hisia.
Kama unaishi dar basi utakua umeshindikana mana katika mil5 umekosa hata mmoja?
Nimechelewa?Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke.
Sifa;
-Ajiamini,
-Umri 28-35,
-Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha.
-Awe amejiajiri au ameajiliwa.
-Dini awe mkristo.
Sifa zangu;
-Miaka 27, nina shahada ya kwanza.
-Mwajiriwa.
-Aliye tayari aje pm kwa mazungumzo zaidi.