Natafuta mwanaume ili aje awe mume

Natafuta mwanaume ili aje awe mume

Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"

Mkuu hawa madada wenyewe ni matapeli isome vizuri post yake kuu utajua tu kuwa hawana lolote
 
Mkuu hawa madada wenyewe ni matapeli isome vizuri post yake kuu utajua tu kuwa hawana lolote

Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake bwana DON'T JUDGE huenda ni kweli ma TP wapo na waungwana wapo pia.
 
Anza kuni pm wewe upate mume bora na mcha mungu hapa
 
Ww unaonekana umeambiwa na wenzako kuwa kuwa mwana-jf then utapata mume.Dada ohooooo kuwa makini kuna matapeli humu wa mapenzi balaa,utatoa papuchi na ndoa ng'o!!

"SEMA HAPANA KWA CCM HAPO OCTOBER,2015"

Halafu siyo vizuri kutupeperushiwa njiwa, asipochafuka atajifunzaje?
 
Attachments

  • 1430759757936.jpg
    1430759757936.jpg
    23.4 KB · Views: 139
Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke.

Sifa;
-Ajiamini,
-Umri 28-35,
-Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha.
-Awe amejiajiri au ameajiliwa.
-Dini awe mkristo.

Sifa zangu;
-Miaka 27, nina shahada ya kwanza.
-Mwajiriwa.
-Aliye tayari aje pm kwa mazungumzo zaidi.
Nimechelewa?
 
Back
Top Bottom