Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauletaMtoa mada, mi swali langu ni ulipataje hivyo virusi?
Nia si kukudhihaki, ila huenda sisi tusiofit vigezo tukapata na cha kujifunza. Ila tu, kama ukijisikia huru kushare nasi. Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course mwenza anabaki safeNa Mwenza nae anabaki Safe ama ni Katoto pekee...[emoji15] [emoji15] [emoji15] !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe Elimu kidogo dada Sky....ni kwa mechanisim ipi...!?Of course mwenza anabaki safe
Kama muathirika anatumia dawa ipasavyo hawezi kukuambukiza chances are 99.9% hutoambukizwaNipe Elimu kidogo dada Sky....ni kwa mechanisim ipi...!?
Unamaanisha wakati nafanya Tendo, hata kama kutatokea friction, kwa upande wangu siwezi kuambukizwa...!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Khery twakutakia umpate yule mtakayefana. Usivunjike moyo na dhihaka za humu ndani,Jamii ya jf haina tofauti na huko mitaani ni vile hatufahamian. Kuna wema,waovu,wenye utu na wabaya wasiojal
Nashukuru kwa kunijuza hilo, ila sina budi kuwatafuta wataalamu (wabobezi) juu ya hili, ili wanitoe shaka.Kama muathirika anatumia dawa ipasavyo hawezi kukuambukiza chances are 99.9% hutoambukizwa
Kama una wasiwasi unaweza kwenda nae kwenye ushauri nasaha mkapata maelezo zaidi hukoNashukuru kwa kunijuza hilo, ila sina budi kuwatafuta wataalamu (wabobezi) juu ya hili, ili wanitoe shaka.
Ok..!!kwetu Shamba, nasikia Milio ya Jogoo wakishindana kuwika, kumaanisha sasa kumekucha, ni siku nyingine tena, hatuna budi kumshukuru Mungu muweza wa yote, kwa kutufanya/kutuwezesha kuwa miongoni mwa walio iona siku hii...
Nashukuru sana kwa kuacha majukumu yako mengine, na kutenga muda, kunipa Elimu juu ya hili...
Asubuhi njema Dada/Aunty Sky...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] who with....!!?Kama una wasiwasi unaweza kwenda nae kwenye ushauri nasaha mkapata maelezo zaidi huko
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga
Halafu ili iweje mfano.....acha masihara aiseeeKuna wakati niliweka uzi hapa, ukimpenda mtu na akikwambia kuwa yeye ni +ve huna haja ya kuwaambia hata ndugu zako kama mmependana oaneni
Kwahiyo ukijua ni mwathirika unampiga chini?
Anakua rafiki yangu wa kawaida tu.....kama kawaida...lkn no sex na ndoa haipo....Kwahiyo ukijua ni mwathirika unampiga chini?
Kama umeshazaa nae bila wewe kufahamu?Anakua rafiki yangu wa kawaida tu.....kama kawaida...lkn no sex na ndoa haipo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengine hatujakua civilized bado sasa mtumzima unauliza swali kama hilo unamwenjoy mwenzio. off topicMtoa mada, mi swali langu ni ulipataje hivyo virusi?
Nia si kukudhihaki, ila huenda sisi tusiofit vigezo tukapata na cha kujifunza. Ila tu, kama ukijisikia huru kushare nasi. Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengine hatujakua civilized bado sasa mtumzima unauliza swali kama hilo unamwenjoy mwenzio. off topic
Sent using Jamii Forums mobile app