- Thread starter
- #21
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauletaMtoa mada, mi swali langu ni ulipataje hivyo virusi?
Nia si kukudhihaki, ila huenda sisi tusiofit vigezo tukapata na cha kujifunza. Ila tu, kama ukijisikia huru kushare nasi. Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app