Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya, funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta
Changamkia fursa hiyo usiachie bahati hiyo nduguNakuombea upate haja ya moyo wako mumy.
Watu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga
Duuuh! Mkuu hali kama yako ukimaanisha UKIMWI?
wakija piemu nitag
post using my macbook air using jamiiforums app
Daah!Mkuu, usichanganye hivi vitu viwili,
1. Mtu anayeishi na HIV
2. Mtu mwenye UKIMWI
Ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana
Yeye amemaanisha anaishi NA ( ana maambukizi ya ) HIV.
Usipende kuanika mawasiliano yako hovyo namna hiyo mitandaoni ungefanya kumtumia kwenye inbox yake.
Changamkia fursa hiyo usiachie bahati hiyo ndugu
Mimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn 28-35,awe mkirsto,awe tayari kusettle na kuanzisha family,kama uko serious pm me
Sent using Jamii Forums mobile app