Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Duuuh! Mkuu hali kama yako ukimaanisha UKIMWI?

wakija piemu nitag

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya, funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta


Mkuu pole sana. Ila umezungumza ukweli mtupu unaweza kuwa katika ndoa lakini mwenza wako akauleta ugonjwa ndani. Hofu ya Mungu na kubaki na uaminifu ndio salama yetu.
 
Watu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga

It is true, but needs courage, pure love and well understanding partner (the negative partner)! Hasa ikiwa huyo HIV negative partner ndiye sole initiator wa hiyo relationship na msingi wa hiyo relationship sio material things but pure love, intimacy and soul mates! Otherwise ni ngumu sana.
 
Duuuh! Mkuu hali kama yako ukimaanisha UKIMWI?

wakija piemu nitag

post using my macbook air using jamiiforums app

Mkuu, usichanganye hivi vitu viwili,
1. Mtu anayeishi na HIV
2. Mtu mwenye UKIMWI
Ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana
Yeye amemaanisha anaishi NA ( ana maambukizi ya ) HIV.
 
Madam FaithHope, kwanza pole kwa mkasa wa maisha ( scenario ilokupelekea kupata maambukizi), pili hongera kwa ujasiri against self stigma ambayo huchangia sana kudhoofisha afya (pale mwathirika asipokubali hali na kuanza kujinyanyapaa mwenyewe). Tatu, ushauri wangu, kama unahudhuria clinic ya ARV (you should be) basi ongea na nurse wako wa counselling, mweleze haja yako, akuunganishe na mtu mwenye hali yako, (note: sio akuunganishie, bali akuunganishe). Kwa maelezo na ushauri zaidi njoo PM
 
Mkuu, usichanganye hivi vitu viwili,
1. Mtu anayeishi na HIV
2. Mtu mwenye UKIMWI
Ni vitu viwili tofauti japo vinahusiana
Yeye amemaanisha anaishi NA ( ana maambukizi ya ) HIV.
Daah!

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Mimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn 28-35,awe mkirsto,awe tayari kusettle na kuanzisha family,kama uko serious pm me

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu akusaidie umpate!
Mjenge familia yenye furaha
Amen
 
Hapa wengi watajidai hawana HIV japo hawajapima, mm ngoja nikapime ili nione kama nitafika kwenye hicho kigezo, vingine vyote nimefaulu badi hicho kimoja tu, nikipima nikifaulu takutafuta.
 
Back
Top Bottom