Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

Queen Rover

Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
88
Reaction score
79
Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM

Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo

Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
 
Sifa zoote ninazo, tatizo mie Mkurya.

Ngoja nije tu lakini, najua nikikusaundisha vizuri nikakoungezea millioni 7 kwenye mtaji wako na kukusomesha chuo utalegeza masharti kidogo...
 
Mie sifa ninazo tatizo rangi...... Sasa tutafanyaje
 
Wakuyra na wajita imekula kwao [emoji28]
Dada huyu hataki kupigwa [emoji23]
 
22 yrs unaitaka ndoa. Still young. Ungefikisha hata 25 ndio uanze mchakato. Watu wanalia kila siku humu..huwaoni? Kila la kheri..utampata!
MimiT@ miaka sio tatizo... Ikiwa tayari ninajielewa na najua ni nini nataka maishani mwangu.. Ninaweza kumpenda na kumuheshimu mme wangu... Kwa wanaolia aidha ni kasoro chache chache za wenza wao... Hakuna binadamu asie kasoro
 
Sawa.
 
Back
Top Bottom