Tayari nimeku-pm.Nasubiri jibu. Ondoa sasa hii thread
Aondoe thread umemvisha pete? Acha vinega wagombanie goli.Tayari nimeku-pm.Nasubiri jibu. Ondoa sasa hii thread
umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm!
umri wangu ni miaka 24 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka 25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm!
Hiyo ni kweli mkuu. Kwenye mtando hawezi kupata ila kwenye mtandao mbona kuna watu wanapata na kuoana kabisa.huyu demu halipi itakuwa we umeonapi mtu anatafuta mume kwenye mtando, huyu atakuwa housgirl tu
umri wangu ni miaka 24
natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhat umri kuanzia miaka
25-28.anayejijua ana mapenzi ya dhat anipm!