Natafuta Mwanaume Mwenye VVU

Natafuta Mwanaume Mwenye VVU

Kama yupo maiti aje tufarijiane huku makaburini kisutu, msambwanda utazingatiwa zaidi.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa.

Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
All the best mamii
 
Akija asiye na maambukizi hutomkubali kabisa?
Hautompa hata muda wa kumtazama?
Hauhitaji mrefu, mweusi na asiye na kitambi?
 
Back
Top Bottom