Woman 949 Member Joined Apr 21, 2020 Posts 11 Reaction score 11 Aug 9, 2021 #1 Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
jadit JF-Expert Member Joined Oct 4, 2019 Posts 273 Reaction score 212 Aug 9, 2021 #2 Mungu akupe hitaji la moyo wako mamy [emoji120][emoji120][emoji120]
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 Aug 9, 2021 #3 Kama yupo maiti aje tufarijiane huku makaburini kisutu, msambwanda utazingatiwa zaidi. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kama yupo maiti aje tufarijiane huku makaburini kisutu, msambwanda utazingatiwa zaidi. Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Aug 12, 2021 #4 Duuh!
I idtech Senior Member Joined Jan 4, 2016 Posts 185 Reaction score 482 Aug 12, 2021 #5 Woman 949 said: Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu. Click to expand... All the best mamii
Woman 949 said: Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu. Click to expand... All the best mamii
C copernicucci98 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 1,232 Reaction score 2,362 Aug 12, 2021 #6 Akija asiye na maambukizi hutomkubali kabisa? Hautompa hata muda wa kumtazama? Hauhitaji mrefu, mweusi na asiye na kitambi?
Akija asiye na maambukizi hutomkubali kabisa? Hautompa hata muda wa kumtazama? Hauhitaji mrefu, mweusi na asiye na kitambi?