Natafuta mwanaume serious kuanza nae maisha

Natafuta mwanaume serious kuanza nae maisha

sijaona kigezo pendwa hapa ww utaki vigezo au yeyote anakaribishwa?
 
Unapokaa pote umekosa..shulen ulikosa..apa hutapata...hum wamo special case tu mfano unataka mtoto tu au experience ya mapenzi...
 
We kuanza peke yako maisha umeona nini? Title isomeke unatafuta mchumba/mume
 
Nipo serious pia, kama kweli unamaanisha njoo PM tuyajenge
 
Back
Top Bottom