Kuna faida yoyote ya ziada ntakayoipata ambayo hukuiweka hapa?maana masharti yenyewe nati kinoma.Wana JF, salam!
Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.
Mi mwenyewe ni mwanafunzi, nahishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala banghe, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba
Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua
Mwali
PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!
Faida za hapa na pale zipo. Mfano usafi:Kuna faida yoyote ya ziada ntakayoipata ambayo hukuiweka hapa?maana masharti yenyewe nati kinoma.
Hi NN, unatafuta roommate? dogs are allowed. No cat lakini
Nyumba zote zilizo karibu na chuo ni juu ya budget yangu.Mi nakushauri acha tu usikae na mtu, au tafuta nyumba ya uwezo wako, utakuja kujuta badae baada ya kumkaribisha huyo mgeni usiyemfahamu
Vp vp kuhusu upako?Faida za hapa na pale zipo. Mfano usafi:
utafanya mara mbili kwa wiki, na mimi mara mbili.
Ukikaa peke yako utalazimika kufanya mara nne.
Hakuna zamu ya kusuguana mgongo japo kwa siku mara 2?then I will take response for all expense!!Faida za hapa na pale zipo. Mfano usafi:
utafanya mara mbili kwa wiki, na mimi mara mbili.
Ukikaa peke yako utalazimika kufanya mara nne.
Upako ndio nini? sielewi hicho kiswahili...:thinking:
500 pounds all inclusive, then 12 pounds za internet kwa mwezi.
Kama ni mwanafunzi kuna tax exoneration.