Natafuta mwanaume wa kuishi nae

Achana na woooote waliojipendekeza kabla yangu. Mimi ndie perfect candidate, trust me!
NImependa confidence yako... but nahitaji maelezo zaidi
wewe ukoje, na kwa nini unadhani wewe ndie unae faa?
 

Achana na woooote waliojipendekeza kabla yangu. Mimi ndie perfect candidate, trust me!
 
Uleee!wenye wivu mjinyonge.
Sasa mimi ndiye roommate wa mwali,kani PM sasa hivi.Sasa msijisumbue tena.Tumeshakubaliana.
Mwali naomba nikuhakikishie kwamba ntailinda na kuitetea katiba na majukumu uliyonipa.Hasa hilo la makeup!
Ntahakikisha nakupepea na kukubembeleza kimahaba mpaka utakapopata usingizi.Chumbani kwako ntashindia na mgongoni ntakupeba!
 
nitaandaa kipindi
afu niwaalike
ntaruhusu kila mmoja kuwaswalisha.

 
Wacha kujishaua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…