Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Kula tano! Najihisi mwenye bahati, najua nitapanda zaidi ya hapo,akina klorokwini wacha wakorome, nakaribia kuwa roommate wa mw........ kwa debe la kbnitakuweka namba 22 kwa kuwa umejituma sana,ukifika mbeya ndo ntakufikiria zaidi
Mmojawapo si kabakabana!Naona sweety kabakabana ameanza kugeuza hii dili kua yake
In fact hakuna cha foleni wala nini, kesho party watu wote njooni
then hapo hapo party ndio visit, na ndio wana JF watanisaidia kuchagua
Sijui kapotelea wapi yule. kawaida yake hua very active JF by nightKesho ntafika kwenye party sijui nimepata namba ngapi maanaake majaji wamekuwa wengi...Ngoja nilale mshindani wangu mkubwa ni Nyani Ngabu ila namzidi kete kesho ntamshirikisha Superman ikiwezekana.
Sijui kapotelea wapi yule. kawaida yake hua very active JF by night
Nadhani yeye ana namba moja, but it doesn't mean anything.
Kumbe unapajua? watu wengi walidhani it is just an imaginary place.
Tunaweza kua ndugu, hairisheni kwanza harusi jamani!
Naona sweety kabakabana ameanza kugeuza hii dili kua yake
In fact hakuna cha foleni wala nini, kesho party watu wote njooni
then hapo hapo party ndio visit, na ndio wana JF watanisaidia kuchagua
Kula tano! Najihisi mwenye bahati, najua nitapanda zaidi ya hapo,akina klorokwini wacha wakorome, nakaribia kuwa roommate wa mw........ kwa debe la kb
Mmojawapo si kabakabana!
Hata kwenye umiss unamkamata jaji mmoja, anakupa maksi nyingi, mie nishamweka sawa kabakabana.
Kuna wanywaji wa wine cooler humu?
.Kama wapo na waseme ili nilete stock.
Pamoja sana!cool down sasa usimwage mchele...
Mkuu hautajwi..!! Naona umeshaanza kuahidi vinywaji babkubwa wewe noma.
Sasa sijui masuala ya vitafunio niaje....
Nataka ni place order ya seafood casserole lakini nataka nijue idadi ya wahudhuriaji. Wewe unaijua?
Nimesha order kwa wa-Thai, wanaleta supu ya mussel na prawns.Sasa sijui masuala ya vitafunio niaje....
Nataka ni place order ya seafood casserole lakini nataka nijue idadi ya wahudhuriaji. Wewe unaijua?
Pole shem/cousinKesho nitakuhoji vizuri kuPm, machale yashan'cheza some sympton zinanigusa wawezakua my relative, kwani kwetu napajua vizuri unaweza kuta nusu ya kijiji ama mtaa mkawa na relations due ile miingiliano ya wakazi wa kwetu wanavyooana, huyu kaoa kwenu na wewe unaoa kwao.
Nitakufatilia , leo siko vizuri Manchester Untd imefungwa then tupa kule mashindanoni.
Husny nae namtafuta angaa anibembeleze simuoni.
Uso umenishuka leo kufungwa, sipati picha.
Hahahahaha, mi love this!!!!Hey Mwali, kwa nini tusichome nyama kabisa? Tufanye backyard cookout.
Nikitoka kwenye box ntapitia farmer's market ninunue mbuzi, beef flanken short ribs, kuku, na viazi mbatata, aluminum foil, na bbq sauce.
Ila wengine na nyie changieni changieni basi - paper plates, paper towels, mkaa, lighter, n.k.
Aisee, hiyo ni nini hapo? sounds latino zaidi... ni mvinyo?Dah!!Toka tuondoke wamekuja wageni wengi na mamluki wengi ila fanya makadirio based na description ya ile nyumba mi ntakuja na suprise package kutoka L'Atelier de Joel Robuchon natumaini wataburudika.
karibu sana, maybe utapenda nyumba pia.Yani niliingia kwa spidi kwenye hii thread nilipoona unatafuta mwanaume wa kuishi naye nikajua bahati ndo hiyo sasa naweza pata mwenza...dah kumbe unamaanisha mwanaume wa kupanga naye nyumba...anyway, nipo maeneo ya jirani nitaitafuta hiyo nyumba yako walau kwa kujuana tu...huwezi fahamu mbeleni huko...