Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Wana JF, salam!
Hapa nilipo nahishi na wasichana wawili ila kila siku wanagombana imekua kero kwangu
Nimepanga kuhama mitaa mbili further, kuna nyumba nzuri, 2 bedrooms, ila ina bei kiasi...
Solution ni kutafuta mtu wa kuchangia nae rent, anachukua chumba kimoja na mimi kingine.
Natafuta mwanaume mstaarabu. mwanafunzi au young professional,bachelor.
Mi mwenyewe ni mwanafunzi, naishi maisha simple, few parties, soft music.
Sivuti sigara wala bangi, kama atataka kuvuta sigara atavutia nje.
Napendekeza usafi, ila naweza kuvumilia desorder ya vitabu hapa na pale
Anaweza kualika wageni ila ni marufuku kuwapa rafiki zake funguo za nyumba
Nyumba yenyewe ina vyumba viwili, sebule, choo na jiko ndani,
ka garden ka kiushkaji, kana barbecue imejengwa na chimney yake
Nyumba ipo barabarani kabisa, karibu na maduka, kituo cha basi next door
Kama uko interested niambie hapa hapa, wana JF wanisaidie kuchagua
Kesho jioni, saa moja kamili kutakua na party kwenye hiyo nyumba
Wana JF wote mmealikwa, hasa valide candidates. Njooni na vinywaji
Hapo hapo ndipo mta-visit nyumba, na ikiwezekana tunamchagua THE roommate.
Mwali
PS: Nimeleta mada chit chat because it is just chit chat!
mwali, ankal wako hajickí vzr do ze nidiful
Sorry sikuonekana kwenye party nilio alika mwenyeweHivi wapinzani wasipojitokeza si nachukua ushindi wa mezani...Namalizia vinywaji vilivyobaki then kesho nakuja na mzigo yangu tayari kuhamia kwenye jumba letu.
Sorry sikuonekana kwenye party nilio alika mwenyewe
Naona wewe ulikaa muda wote huu, pole sana
Ila usijali, nadhani hapo in bold ni sahihi kabisa
Chukua funguo zako, kesho leta mizigo.
YOU ARE MY NEW ROOMMATE 🙂
Tunaenjoy bado maisha na Canta wangu...she is really hot!najua unamuwahi canta,msalimie sana
Cousin mambo? Bora umwambie uncle akuongezee hela ya kodi kuliko kutafuta mwanaume! Lol.
Oooh Darling,njoo kwanza nikupe cha asubuhi ndio uendelee kustorika na wadau huko jamvini!Tunaenjoy bado maisha na Canta wangu...she is really hot!
Sema mtambuzi, ulitakaje? niko highly flexible.
Nipo tayari hapa kwa ajili yako ma dia..Oooh Darling,njoo kwanza nikupe cha asubuhi ndio uendelee kustorika na wadau huko jamvini!
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!nasikia umetoswa na Canta ni kweli?
Mtaa mzima wanasema hivyo.
Orait swty,unapenda nikulishe kitumbua au sambusa baba!Nipo tayari hapa kwa ajili yako ma dia..
Familia ya Rejao hamjambo??Orait swty,unapenda nikulishe kitumbua au sambusa baba!
Just make a choice,nikulishe mpaka ucheue!!
Sie wazima kbs B52,Familia ya Rejao hamjambo??
Canta mzima?
Mmepotea sana
Pole na bd miezi nane eeSie wazima kbs B52,
Sema tu hii hali sijaizoea ni ngeni kwangu inanizingua kidogo,
Ndio maana saa ingine hamnion hapa!
Mzima ww lkn?Amy hajambo pia?